Search

27 results for Nkwazi Mhango, Canada :

  1. Wanandoa watofautishe kupenda na kutaka

    Kila mtu humpenda mwingine. Vivyo hivyo, anaweza kumtaka au kutakiwa na mwingine. Hakuna asiyejua kupenda ingawa si wote wanaopenda ifaavyo na inavyotakiwa. Muhimu ni kujua kupenda na kutaka ni...

  2. Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine

    Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...

  3. PRIME Chanzo mauaji ya wanandoa hiki hapa

    Taarifa za mauaji ya wanandoa zinazidi kuongezeka kiasi cha kukera na kutisha. Haupiti mwezi, na sasa wiki, bila kusikia taarifa za mume kumuua mkewe kwa sababu mbalimbali, kuu ikiwa wivu wa...

  4. Kwa ripoti hii ya CAG, Rahis anzisha ‘lifestyle audit’

    Mpendwa Rahisi, sorry, Raisa, nisikuzeeshe kukuita mama, tunakaribiana kiumri. Usijali lugha yangu. Tatizo ni ufyatu. Dhiki zimenifyatua hadi nafyatuka, kuchanganyikiwa, kuchanganyika huku...

  5. PRIME Mheshimiwa Janwari Marope, tusikie diaspora

    Janwari Marope a.k.a Maghoe kwa washambaa na wanyika. Nzeze? Nkhozeza Osie. Juzi nilikuona ukihojiwa na fyatu aitwaye Petro Eliyasi (siyo aliyemuasi mwana wa Adamu). Tuyaache.

  6. PRIME Toka enzi za wananchi wanyonge hadi machawa

    Mafyatu tumejengewa dhana na utamaduni mchafu na hovyo. Tumepewa majina ya hovyo sababu tu hovyo. Tunaonekana hivyo. Tuligeuzwa wanyonge wao wababe, tukaamini, tukaupokea, kukubali, kutukuza...

  7. CcM inapofyatua kiki kutufyatua kitikiki

    Chama cha Mafyatu (CcM) kina sera ya Kisanii na Kizushi, sorry, ya Kishua na Kivungio (KIKI). Kutokana na KIKI kushika kasi, wapo mafyatu kaidi wanaoiita Kutapeli Institute in Kula Inchi, Kuzuga...

  8. Waraka wangu kwa Joni Kanywaji Mugful

    Nakusalimia na kukuandikia waraka wa kumbukizi baada ya kuanza kusahaulika kirejareja na kirahisi. Kwa niaba ya mafyatu wote akiwamo Bi Mkubwa wako, nachukua fursa hii kuzoza nawe hata kama...

  9. Umekwenda Mzee Mwinyi, Hamba Kahle

    Shehe Ali, hukuwa ila mja safi mnyenyekevu, mwenye heshima hata kwa waliokuwa chini yako. Ulipewa mikoba mwaka 1985 wakati taifa likiwa kwenye hali mbaya kiuchumi si kutokana na uongozi mbaya...

  10. PRIME Mgao wa umeme Bongo ni uhujumu uchumi, haki

    Doktari Okot, sorry, N’Dotto Meshaka Bitek’o salama fyatu wangu? Kwanza, nikushukuru kupenda kusoma vitu vyangu. Nilifurahi nilipojua kuwa nawe ni fyatu wangu. Tuyaache. Juzi nilikusikia ukitoa...

Page 1 of 3

Next